Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatimaye umeselfika tangu uzi huu kuanza

Not real 😊...

Kuna picha nyingi sana niliweka zamani uzi ulipoanza, utakuwa umesahau, nyingi za mwanzo utaona viatu na perfumes, na mbili au tatu niliweka masked face ikiwa grayscaled kama hivi...

Baadaye nikawaachia uzi nikaaga kabisa, nikaondoka na mamsapu wangu Sakayo...

Then, hii ni ya pili uzi tangu ulipofufuliwa upya na Active awamu hii...
 
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…