Selfika na JF: Snap it. Show it

Bila hizi hadithi za Sungura na Fisi mngenikuta Babu yenu nimeshajifia Kwa stress πŸ€—

Si mnajua tuna miezi 3 hatujapata pension zetu Wazee 😜

Kwanza fanya unitumie Kiko zangu nilizokuagiza, maana si Kwa arosto hili Mjukuu πŸ€—
Babu kiko umepata, sasa kwakuwa mi niko busy mtume yule bibi mdogo mweusi mwenye miguu minene aje akuchukulie kkoo 🀣🀣🀣🀣
 
Babu kiko umepata, sasa kwakuwa mi niko busy mtume yule bibi mdogo mweusi mwenye miguu minene aje akuchukulie kkoo 🀣🀣🀣🀣
Bibi mdogo yupi Mjukuu🫣?

Hivi Mjukuu unataka Babu yako niachike Kwa Bibi yako kwenye Umri huu wa Uzee πŸ˜…?

Kuweni na huruma na Wazee πŸ€—
 
Bibi mdogo yupi Mjukuu🫣?

Hivi Mjukuu unataka Babu yako niachike Kwa Bibi yako kwenye Umri huu wa Uzee πŸ˜…?

Kuweni na huruma na Wazee πŸ€—
Tatizo babu una masuria mengi na wewe 🀣🀣🀣🀣
Bibi L humjui??πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Bibi yenu mwenyewe ananitoa Jasho, ndiyo iwe hao Masaria πŸ™Œ

Kuweni na huruma na Wazee πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…