Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila wadada baadhi wa Humu, mna chekesha Sana.
๐Ÿ‘‰Mna act ni marafiki, ila still mna snitch ana.
๐Ÿ‘‰Mme tengeneza team za kutusiana dah๐Ÿค’.
๐Ÿ‘‰Uki uliza kisa๐Ÿค’, utabaki una jichekea ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tuendelee kula ngoma kali kali.. nahisi tuwaachie hii thread wenyewe.. tusake chimbo kule kwenye tech ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
My sister si una semaga uko over 30๐Ÿค”, why u act kama mtoto.
๐Ÿ‘‰SI una semaga ume olewa, Basi tulizana mpendwa.
๐Ÿ‘‰Kugombana na upepo, una jichosha tu.
Huyo alienituhumu alikosea sana na uzuri anajua kabisa object of the conflicts na bado anakaza fuvu eti Mie mchawi katu sijawahi chokoza mtu humu ukiona nimejibu jua imekua too much na nakaaga kimya tu wananiona boyaaa sasa ndio naeaonesha katu sijawahi omba msamaha wala kurudiana Nahuyo mtu waoo! Never!!
Afu acha kiherehere nawewe!

So unataka mtu anipangie cha kufanya humu???? Kama napost picha za uchi wao wanaumia nini ???
Ndonyie mliojifanya kuisema selfika blah blah mpaka waleo hii mmeganda na kukomalia hapahapa nawengine mlijifanyaga hamselfiki sikuhizi sijui mmewashwa nanini treeenaa mnakuja kwaspeed kweliii! Nhahaaaa!!
 
Nipo nakula kiporo nitarudi๐Ÿ˜๐Ÿค’
 

PAMOTO ZA MOTO MOTO MPYA KUTOKA KWENYE MAGANDA YAKE
KIVUMBI LEO NA JANA
SHWAAAAAA
 
Aisee...
 
Wasamehe shooo
Nadhani wamepata ujumbe
 
Ila wadada baadhi wa Humu, mna chekesha Sana.
๐Ÿ‘‰Mna act ni marafiki, ila still mna snitch ana.
๐Ÿ‘‰Mme tengeneza team za kutusiana dah๐Ÿค’.
๐Ÿ‘‰Uki uliza kisa๐Ÿค’, utabaki una jichekea ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa....!! Yanu wanawake sisi kwa sisi hatupendaniii Ndiomana ni Bora niwe na marafiki wa kiume tu nao ukicheka nao mkafurahii unaambiwa wamekulaaaa hahaaaa!!

Mdada yuko radhi akukandieeeee akuongeleeeee vibayaa ilimradi tu anamtaka au anamtamani huyo mwanaume!! Mwingine anakukasirikia kabisa kisa tu ukaribu na mkaka fulani humu yanii ! Mwingine hadi anataka kumpangia huyo mwanaume usiongeee au kuwa karibu na Antonnia humu nyieee!!!
Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzieee!! Kila mmoja ashinde mechi zakee wanawake wenzangu Wanaume wenyewe hawaaa akishakukojolea tu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ