Selfika na JF: Snap it. Show it

Mm nilipitwa wachumbazang hata siwajui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa list ilopita wakat nimelala mkemwenzangu ni nani sasa tuyajenge[emoji23][emoji23]

Nina list ya wake wenza kuanzia kwa Kantri mpk kwa Jack yani hatareee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu nimewatoa wawili na mie nimetolewa na mmoja khaaaaaa!! Penseli katisha
 
Afu kuhusu Grahams mbona mi nilishausoma mchezo muda sana ningekua ninaejalii ningeshauliza humu muda mrefu nashukuru hata sijalii as Long as kitu hakinihusu walaaaaa!! Nilishalisikia hilo muda mrefu sana mwenzenyuuuu!

Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii πŸ€£πŸ•ΊπŸ•Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…