Sura kama tanki la jumuia , meno ya meachana kama vidole vyenye fungus , umepauka mpaka ukila chakula tumbo linahesabu , unasaiti mbaya kama kasuku , kamtu kamenenepa mahali mahali sio pote , kishingo kibaya kama cha kuku kashingoo, unakitakitambi cha mawazo , unasura mbaya kaka dada kiboga , unahema kama kenge, miguu yako inamanyoya manyoya kama kuku