Selfika na JF: Snap it. Show it

Kudadeki
 
Potezda basi.. pls.. tuendelee kutoa stress rafiki yangu.. Naomba msamaha kwa niaba ya wote walio kukosea
.. sie wote humu ni rafiki na ndugu

Naona kuna kenge hazijikubali bado kutwa kuzurula kunitafuta afu nilijua mchawi mwingine kabisaaaa


Kumbe mtu ambaye sikuwahi kumuwaza dah!!! Fresh namkaribisha awe adui yangu na namuhakikishia hatokaa apumzike humu si anataka bifu? Avute kiti akae
 
Yani mecheka nimeangalia pic yangu afu nimetazama na yake najionea kutapika tu hapa


Afu me sitishiwi nyau mwenyewe nimepinda bhangi zimelala
Nakuaminia One woman Army Uduguu!! πŸ’ͺπŸ’ͺ!!

Ule uhair hio rangi guu auweeeeehhh 😍😍😍!!
 
Pacha wasamehe ili tuuze bandariπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…