National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
hahahaha! mkorofi sana huyo kigori..π πSi kweli
Ulete inshu Sasaπ€π€π€πͺkwenye Tz nimeweka chata pengi sanaa π π π π
tumsubiri boss Nuzulati aweke mambo sawaUlete inshu Sasaπ€π€π€πͺ
Ngoja nikirudi Tz nitakutafuta πNije twende.. tupange ratiba.. but mambo yangu ndio huwa nayapeleka kwa utani utani hivyo hivyo.. usipo nijua unaweza ona nazingua.. π π π π ..
Wizara ipi Sasa????, Halafu Bei ya BMW 6 ni bajeti ya wizara ipi mzeeππ€bei za hayo magariπ ni bajeti za wizara
Uko india uongoππ€Ngoja nikirudi Tz nitakutafuta π
Poa.. .. Upo kule ? Nileteee kitu basi usiache ( kuna nyama flani hivi zina protein ya kufa mtu ) nikikumbuka jina nakutumia, kuna jamaa yangu huwa ananilitea πππ sasa hivi naomba uniletee weyeNgoja nikirudi Tz nitakutafuta π
Yale mafuta ilibidi tuonane na mimi kuonana na member wa jf ni Noπππ¬π¬π¬π¬ alafu nimekumbuka unilitia hasara yale mafuta ya samri.. π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«
π π π πSio bosi mimi nabangaiza kwa kuuza Azam ukwajuππ
Sio India nipo TangaππUko india uongoππ€
π π π ila kipindi kile hakukuwa na maluwe luwe kama sasa hivi.. ulinikwaza ningekuwa naweza kukumeza ningekumeza kupitia PM .. yalitoka Musoma yaleYale mafuta ilibidi tuonane na mimi kuonana na member wa jf ni Noππ
Nilikuwa nafikilia niende au nisiende πππ π π ila kipindi kile hakukuwa na maluwe luwe kama sasa hivi.. ulinikwaza ningekuwa naweza kukumeza ningekumeza kupitia PM .. yalitoka Musoma yale
Nili mind sana tu π π .. nikasema acha nikaushe.. nimewasumbua vijana wangu kule.. alafu weyeeee π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π¬π¬π¬π¬π¬Nilikuwa nafikilia niende au nisiende ππ
Pole sana ππΎββοΈNili mind sana tu π π .. nikasema acha nikaushe.. nimewasumbua vijana wangu kule.. alafu weyeeee π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π¬π¬π¬π¬π¬
Tanga sehemu ganiπ€, nilikuwa mwahako last month.Sio India nipo Tangaππ
Kwa Msisi πTanga sehemu ganiπ€, nilikuwa mwahako last month.
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘Pole sana ππΎββοΈ
niletee basi hizo nyama ππKwa Msisi π
Ukichukia huwa unapendeza sana rafikiπ‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘