Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Sasa mbona una nichukuliaje Dem wangu To yeye πππ€£Mie nawapenda wote humu alafu nawaheshimu wote.. napokosea naomba msahama.. alafu ni mtu wa watuu yaani.. sijui magomvi wala machuki π π
Pacha hivyo vidole, Kama mikasi ya operation [emoji16][emoji855]
Mi National Anthem kani piga za Kichwaππ€£, Niko parking ila hajiπͺIngia pm nikurushie bomu
nataniana nae tu.. mkuu! sijawai date na mtu humuu... π πSasa mbona una nichukuliaje Dem wangu To yeye πππ€£
Unazingua tuMi National Anthem kani piga za Kichwaππ€£, Niko parking ila hajiπͺ
Shida uyo mzee anakazi ya kufuta pm ananiboa sanAMi National Anthem kani piga za Kichwaππ€£, Niko parking ila hajiπͺ
Dahhh wakubwa Wana faidiπ,View attachment 2722016Haya sasa,tukule kwanza
Niuzee mara ngapi?Utakuja kuuza Hadi kwakoπππ
hapo vyakula vipo viwili π πDahhh wakubwa Wana faidiπ,
Mkuu iam damn serious π€, toka tuomane,Unazingua tu
π π π π Mjini hunitoi mzeee .. afe kipa afe bekiNiuzee mara ngapi?
Mpemba alinivua nyumba ya urithi! Sasa najilia upepo tu huku kwa Mathias haha fujo za mjini nimemwachia National Anthem
KaribuNaomba mualiko [emoji4][emoji4]
Dah, siku Niki okota hela, Nita enda kusonga ugali ibizaππ€£π€£πhapo vyakula vipo viwili π π
calm down rafiki yangu . Usikasirike acha lipite ambalo lime kukwaza.. ishi kwenye dunia yako ya furaha [emoji4][emoji4][emoji4].. ebu chukua kwanza maua yako [emoji257][emoji257][emoji257].. usikasirike
Dah at kutoaje, wakati wewe ni partner was rostam aziziπ€£ππ π π π Mjini hunitoi mzeee .. afe kipa afe beki
Nitumie location basi ππKaribu
Na huchezi mbali na hizo location.π π π π Mjini hunitoi mzeee .. afe kipa afe beki
KaribuDahhh wakubwa Wana faidi[emoji16],
Kwani mi nime date na mtuπ€£ππnataniana nae tu.. mkuu! sijawai date na mtu humuu... π π