Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ngoja nimalize kuhama hapaTupia nyingine
lete tu hiyo umeifuta harakaπKm nakuona unavyohangaika kunitafuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi nikupe nyingine??
Ukimpa utaniuzi si unajua na wivu hapa nijikaza tu kiumeKm nakuona unavyohangaika kunitafuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi nikupe nyingine??
lete tu hiyo umeifuta haraka[emoji23]
we jamaa unachekesha kinomaπ€£Ukimpa utaniuzi si unajua na wivu hapa nijikaza tu kiume
Ukimpa utaniuzi si unajua na wivu hapa nijikaza tu kiume
Bado dogo ukiwa mkubwa utajuaππShida ipiπ€£π
we jamaa unachekesha kinoma[emoji1787]
πππ mimi uyowe jamaa unachekesha kinomaπ€£
Ukiwa rafiki yangu sitak nikuone unacheka na mwingine zaid yangu ππMwenye mke katulia, wivu ukukute wewe uko sawa kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem chagua kinywaji
Ukiwa rafiki yangu sitak nikuone unacheka na mwingine zaid yangu [emoji19][emoji19]
Shem me hapo Jack Daniel ile ya blue label [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe lakiniππππ, nambieπBado dogo ukiwa mkubwa utajuaππ
Sawa ila nakwazika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Makubwa
Unasema kweli?Tena sio kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka tenaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€ π€ !!Useme kwa nini umecheka boss lady
Wananisingia eti mimi nawakula watoto wazuri hapa.selfika sababu ya vocha wakati wanawakula wenyewe
Hivi kweli boss lady hii ni haki?
Endelea kuwakomesha tu[emoji23][emoji23][emoji23] nimewakomesha wazee wa kusave
Weka kwanza gumba kisha nitakwambia π¬Wewe lakiniππππ, nambieπ
Shida ya wanna daslam mme legeaπ, Hadi kitanda una shindwaaa kufunguaππ.Kil
a kitu ww sema unataka nn natak fundi afungue kitanda na dish nimeshindwa π