Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kabisa shem
Yaani nasingiziwa mimi hapa kisa vocha
Afadhali umekuja
Hahahaaa.. sijui Kwanini nimecheka hii komenti!๐Ÿคฃ๐Ÿคญ!!

Anyways Samalekoooooooo! ๐Ÿ–๏ธ
 
Useme kwa nini umecheka boss lady
Wananisingia eti mimi nawakula watoto wazuri hapa.selfika sababu ya vocha wakati wanawakula wenyewe
Hivi kweli boss lady hii ni haki?

Ko shem tunaliwa na mshamba? [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda anakula hao viposongo wenzie [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ