Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mzee wa kupambania nipo live leo View attachment 2721570
Shuleni una fundishwa kusoma, kufaulu, ajiriwa na Kisha staafu.vitabu vya shule havikufundishi kua tajiri🤣 havisemi 'believe in yourself'🤣
sawa sawaShuleni una fundishwa kusoma, kufaulu, ajiriwa na Kisha staafu.
👉Mitaa ndo mwalimu pekee,
Usisahau kubeba zanaKuzulula uku
Mi hayo haya nihusu mzee, mi nafata Ninacho hitaji.sawa sawa
angalia wameuza copy ngapi afu matajiri wako wangapi uje ulete mrejesho🤣
U selfike Sasa 🤗 NuzulatiMIND
hahaa, think and grow rich🤣 drop out of college and believe in yourself🤣Mi hayo haya nihusu mzee, mi nafata Ninacho hitaji.
Acha ukorofi 😂😂😂hahaa, think and grow rich🤣 drop out of college and believe in yourself🤣
wee ntashindwa kulala usiku bana🤣
Dah una roho ngumu Sana🤒😁, cc mshamba_hachekwi kula Toto hiyo Kwenye picha😁
Sema ukweli Jana huja ilia nyetoo😂🤣😂😂wee ntashindwa kulala usiku bana🤣
Sina ubaya wa kiwango hiko 😬wee ntashindwa kulala usiku bana🤣
Sijala tokea jana mazee......Pamoja mkuu, tuzingatie yaliyo muhimu kwetu.
👉Ila sema kweli, hujala toka jana kweli mkuu🤔 The Boy Wonder
chura ipo?😂Sina ubaya wa kiwango hiko 😬
Shusha mzigo🤣Mjep kuja
Nishapata kapicha ka kwenye jua😂😂
Ipo si unaona imetokea kwenye 😁😁😁chura ipo?😂