Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahhahha sawa dada jitahidi tuhamie kwake

Nyie mtabaki home wambea hamchelewi kumsikiliza shem wenu akiwa anaunguruma mkayaleta selfika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbaki home muendelee kumsaidia mama kulisha bata [emoji12]
 
Ahahahh bhna usiwe ivyo kabisa mmimi napenda kukaa kwa shemeji bhna Jack Palladino naomba nikae na ninyi uko uupaanga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]

Yaani ulivyotia huruma sasa km kweli, nimecheeekaaa

Wewe inaonekana unapenda kukaa kwa mashemeji
 
Ahaaaha shemeji yangu alinilea vzr kama mwanae dada angu kaolewa na kazèe uko kinamtunza vzr anakazi ya kubadil magari tu ningekuwa naka kwake now ningekuwa mbali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndiomana bas usijali tutaenda kuishi wote kwa shem ako
 
Ahahahahh mashemeji waapewe maua yao sana alikuwa ananiita ofisin kwake anawatambulisha huyu kijana wangu kuna siku nilifika ofisn nikamkuta secretary mpya akaniuliza huyu nan yako nika wambia shemeji yangu alishangaa ety anawezaje kuwa na shemeji kama wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ niliona aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…