Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata usijichoshe mwenzio kabaya wewe km unataka kunibless huo mjengo wa urithi nipage tyuu
Naamini kweli wewe ni kifaa, sijutii kukuweka katika mawazo yangu; pata kinywaji ukipendacho kwa hisani ya pochi yako πŸ˜€
 
Halafu nyie wenye maneno mengi, kwenye shoo huwa ni ziro πŸ˜€ πŸ˜€ ,ni full kujiegesha tu

Katika vitu Sir God alinibless bas ni kwenye hiyo sekta, mwenzio kungwi, nyakanga, mpk somo mwenyewe

Nayajua ya pwani na bara, east na west, north na south

Hizo kampa kampa tena mbona km ganda la ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…