Selfika na JF: Snap it. Show it

Maneno tuache tunaomba mselfike full body hatutaki visigino na milonjo [emoji12]

Hata km una bichwa km tunda ya ubuyu we tupia, hata km pimbi wewe lete tufurahi wajameni life is too short!! Tupeni burudani
Mie mwenzio kilaza uduguuu Unamaanisaaa???? Nimeuiza kwa sauti ya kibogoyoo๐Ÿ˜๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Anko wako ana kila kitu.
1.Mchapakazi
2.kifua
3.akili.
4.urefu
5.uchebe
6.mshipa.
7.mpole pia ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Sema huu uchebe unanifanya nionekane mtu mzima ujue nikinyoa nitaonekana kama mtoto wa form 5.

Na majirani wamenizoea hivi
Auweeeeehhh kumbe umebarikiwa ivooo ankoo hongeraa sanaaaa๐Ÿ˜
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ndio vitu gani hivoo powercef msamiati mpya tena lol!!

Mie mnipe ya kukausha nyege hii menopause iishe vizuri uduguuu[emoji16][emoji1783]!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiboko ya wadangaji wa ndani na wa nje
 
Tunataka selfie na hatutaki black n white tupeni kavu kavu ili tuone vidoa vya sugu na vichwa vilivyopinda km kona za Iyovi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ! Hapo unanitishaa hadi naogopa kuselfika bila kuedit uduguuu mwenzio majuzikati nilienda kuondoa magaga yangu yaliyoshindokana miguuni huko saluni kuna kimashine cha umeme kinatekenya balaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค ๐Ÿค !!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Hapo unanitushaa uduguuu mwenzio majuzikati nilienda kuondoa magaga yangu miguuni huko kuna kimashine cha umeme kinatekenya balaa[emoji16][emoji16][emoji1783][emoji1783]!!

Uwe unaweka na jina la sehemu wanakotoa magaga na shoga zetu wa mbagala rangi tatu wakasafishe wasije kuchana net [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunataka selfie na hatutaki black n white tupeni kavu kavu ili tuone vidoa vya sugu na vichwa vilivyopinda km kona za Iyovi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee nimecheka kinoma ntapaliwa mimi. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Aiseee bora ww una magaga meupe yanatoka meusi hayatoki ujue ni sugu hiyo.
 
Uwe unaweka na jina la sehemu wanakotoa magaga na shoga zetu wa mbagala rangi tatu wakasafishe wasije kuchana net [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie Nilienda kununua Remover ili nitoe hii rangi nipake zangu hina ndio nimeizoea sasa Kijana wa kucha akapigia promo hiko kidudee weeee mpaka ananiwin kweli inapunguza na kulainisha magaga yaliyoshindikana yanapungua badae unaenda kujisugua taratibu taratibu huko kwako hadi yanaisha ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค !!
 
Santooo sana ankooo on my way nakujaa hapoooo๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธNa nina ubaoo balaaa๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Kazi ya mama bonge hiyo kuwa makini na magari yanapita mengi huku.
 
Cute Wife nasubiria guu la biaa nirare vizureee mpendwaaaa do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Mie hiki kigimbi changu siwezi kitupia humuu hata kwa brudozaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ