Selfika na JF: Snap it. Show it

Angalizo:
Gharama za kufanya Dialysis bei imesimamia 480,000 now 🤣🤣🤣
Ofsa tuna familia changa utatuua kwa pressure .Unatumia maneno magumu mnooo😄😄😄 lainisha kidogo😄😄
 
Wanaume tumeumbwa na roho ya upendo na ulizni ( guardian ).. mambo ya watoto wa kikee kaa nayo mbali.. hata wakikutukana.. wanawake kama watoto wetu 😊😊😊
 
I miss you sweet darling boss lady
Ebu shusha ile miselfie yako baab kubwa
Vijana wateteme hapa
Miss you much more switihatiiiii😁😁😊!! Mie treinnaahhh uzuri wanijua mambo yanguuuu sibahatishiii so hilo Usijareee kabesaaa🤠🤠😂😂!
 
I mean no malice to nobody 😂🤣😁, kina nani🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…