Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,449
Ni dogo anaye penda kufanya na kufatilia design za magari ya zamani.kafanyeje
Sitaki umbeaπππ€£,Ko wale mawifi nao ni jokes?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri waje wagawane shati hilo
Asante mywaniiiiiiππππNimekujibu kwa sauti ya Kapachino the great mnywanii wee chizii!!π€
au umekaaangwaaa mzeee kama Dahan alivyo mpaisha mtuSitaki umbeaπππ€£,
Sema Ms eyes angalauπππ€Ko wale mawifi nao ni jokes?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri waje wagawane shati hilo
Afadhali nimekuona, afadhali tumeonana. Nilikaa kinyonge sana tajiriππMselfike wadau
Punguzeni story
Wekeni selfie
I swear bhana, sija interest hizo Mwaka huuππ€£πau umekaaangwaaa mzeee kama Dahan alivyo mpaisha mtu
huku sie wapo wa miaka 20+ wanagombania mashangazi JFDogo Yuko 15 yrs Ila ana penda kufanya na kufatilia design za magari.
πKasha itwa na Tim cook, Kuna kampuni 3 ma ceo wame mwita
πKasha andika kitabu ni π₯π₯
Hayaa selfika basiii punguza u motivational speaker basiii! Humu ni kuselfika kwakwenda mbereeeeeπ€³Asante mywaniiiiiiππππ
What??Seriously
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Akikujibu nitag uduguuu [emoji1783]
Kasha andika kitabu, naona Tim cook Ali mwita, SI una jus apple Wana project ya magari??.ana hela au ana nini sielewi mi najua ni photographer
Haya tumekusikia Kila mmoja na interest zake buanaaa Hebu tupieni mafotooo kwanzaaaaI swear bhana, sija interest hizo Mwaka huuππ€£π
nikupeleke gheto kukutiaa π πUnipeleke wapi baba tunda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eh atume kama laki mbili tatu ukashereke ubadilishe mboga
Sawa mchumbaa ππLeo ngoja nikuonyeshe nilivyopika sasaππ
Aiseeeπ€π€π€π€π€nikupeleke gheto kukutiaa π π
Sawa usijali.
Nitakupa Abc zote..
Nampeleka manhatan.. trump tower [emoji28][emoji28]