Nimeishi shenyang sana kaka ,, hata week yote nilikuwa huko liaoning , this time nataka niende harbin nikacheki ice sculptures... wew ni mdau najua hahaha .. shenyang has raised me .. pande za Daoyi
Hahah Harbin (nasikia kuna baridi hatari) sijafika mkuu, niliishia Shenyang tu kuna jamaa wakati huo alikuwa anasoma hapo...
Nimefurahi kuskia hilo hakika Jf ni uwanja wa nyumbani , na nimejifunza kutojifanya mjanja humu ndani kuna watu wanajua vitu kuliko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pamoja ndugu .. Mungu azidi kukubariki
your Clarks game is on point!Everybody haffe aks where me get me Clarks
Everybody haffe aks where me get me Clarks
Ckarks me prefer...
- "Clarks"
Vybz KartelView attachment 1276178
.41 pts, 11 Assts, 9 boards. Any idea who that is? Clue: Made in Madrid. Good morning.
View attachment 1276796
Who? Luca?
Correction: It is 42 points.
😂😂😂mzee unaahidi hivi deile halafu unapoteaMuda wangu sasa kujiachia na mapicha picha, naona mmelala
Ended with 42. Posted when he was at 41.
Ooh, thanks.
First time kumwona dogo ilikuwa Eurobasket, ndo kuanza kuangalia game za Madrid season yake ya mwisho pale.
Toka 14 nilikuwa namfuatilia. Season yake ya mwisho ulaya ndio nilikubali dogo ni special, coz alivyoumia Llull kwangu season iliishia pale Euroleague, ila dogo aka-come through.
Ombi langu huu uzi usivamiwe!hapa mimi
Hahahaha, huwa natupia usiku wa manane tu[emoji23][emoji23][emoji23]mzee unaahidi hivi deile halafu unapotea
Dogo yuko poa sana, huwa siangalii game za Europe, ila dogo alisababisha nikafatilia game za Madrid.
Wakati anakuwa drafted kuna jamaa zangu nikawaambia kwamba Luca atasumbua sana, last year kwenye All Stars fans vote alimpiga gap hadi Steph Curry!
Hahahaha sawa sawa mkuuHahahaha, huwa natupia usiku wa manane tu
Mi Euroleague, Liga Endesa, Copa del rey, any competition Madrid wapo nipo.
Alitakiwa kuwa drafted number 1, ila most NBA heads are racists. Na wengi walipata wasi wasi since he's not athletic. Acha sasa waendelee kuomba msamaha. Msimu huu playoffs, all star tunaanza. Next season Kristaps akirudi form, MVP.