hapa mimiKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
shukrani kakaNice pic [emoji109][emoji109][emoji123]
Jiachie Mzee Kabila Jr.Muda wangu sasa kujiachia na mapicha picha, naona mmelala
Hahahaha, niambie MkuuJiachie Mzee Kabila Jr.
Muda mzuri wa kutupiaView attachment 1276737
Mmmh, hayaView attachment 1276766
Vile nimeamka [emoji41]
Mmmh, haya
acha tu, mambo vipi lknMbona waguna?
acha tu, mambo vipi lkn
Safi pata supu, Jana ulienda safari yako? Maana magomeni kulikua na msiba mzito JanaPoa kabisa
Aiseeee Mungu ni mwema saaana. Hajaifuta.
Safi pata supu, Jana ulienda safari yako? Maana magomeni kulikua na msiba mzito Jana