Huyu mannequin kanichekesha sana.
Nilimkuta kwenye Nike retail store.
Dizaini vibonge walilalamika kuwa huwa hawawakilishwi kikamilifu ilhali na wao ni wateja wakubwa wa Nike.
Nike wakaona isiwe tabu. Ngoja turidhishe wateja wetu wa size na rangi tofauti.
Mannequin ni chibonge halafu mweusi. Hahahaha. Funny
View attachment 1275658