Selfika na JF: Snap it. Show it

For real kuna raha ya kujihudumia mwenyewe yaani humsumbui mtu.

Mimi najipenda sana ndiomana napambana usiku na mchana nijihudumie, ila mwanaume akitokea nimpende mwenyewe sio sababu ya pesa zake aiseee!!

Kwanza nina kinyaa sichukui furushi eti kisa naye anaitwa mwanaume
 
Aisee nilikuwa nakutafuta kumbe upo hapa selfika😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…