Watu wazima hututaki,we deal na hao vijana wangu, wakutoe jero jero za vocha,maana hata 2k washasema inauma,[emoji23][emoji23]
mimi wa kwangu hapendi zawadi[emoji28]
unachezeaje kitu ambacho huna?Siwafichi hamna kitu kina niuma, Kama kuchezea hell.
👉Elewa kwanza🤒🤒
Inanukia chocolate chocolate😂?Akununulie hiyo MEME SANDEL [emoji7][emoji7]View attachment 2708318
Hella Ina anzia shingapi???unachezeaje kitu ambacho huna?
inategemea na matumizi uliyolenga😅Hella Ina anzia shingapi???
Basi endelea kuwa tumiainategemea na matumizi uliyolenga😅
Nipe na mimiNi maji ya upako [emoji855]
unachekesha sana🤣Basi endelea kuwa tumia
It's fine, if you think iam funny.unachekesha sana🤣
The day you understand witchcraft is real.hahaha
pay in what
nimecheka sana🤣 washamba tuko wengiThe day you understand witchcraft is real.
An hecticnimecheka sana🤣 washamba tuko wengi
Nipe na mimi
[emoji18] For real kuna raha ya kujihudumia mwenyewe yaani humsumbui mtu.
Inanukia chocolate chocolate[emoji23]?
Aisee nilikuwa nakutafuta kumbe upo hapa selfika😊Mimi najipenda sana ndiomana napambana usiku na mchana nijihudumie, ila mwanaume akitokea nimpende mwenyewe sio sababu ya pesa zake aiseee!!
Kwanza nina kinyaa sichukui furushi eti kisa naye anaitwa mwanaume