Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Kwa nini kijana afungwe eti, uzembe ulikuwa wao wawili! Kumfunga kijana ni kumfanya mtoto atakayezaliwa akose malezi na upendo wa baba na mama!!
Kwangu mimi nitasimamia wote wawili wawajibike kwenye malezi ya mtoto! Ukimfunga mimba haitapotea wala, ipo na mwanangu atakuwa kabeba damu ya huyo kijana!
Nzafuahia shana 🤩🤩🤩! Keibu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
imi ni wa kaya!
Wapendwa mnazingua uzi wa picha huu sio wa kisambaa😁😁Nzafuahia shana 🤩🤩🤩! Keibu...
Unajilia vinono
Jamani
Maybe next year! Mimi napapenda venye pametulia!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nzafuahia shana [emoji2956][emoji2956][emoji2956]! Keibu...
HahahahahahaMkuu unavipenda sana hivi vi 8 8, nakumbuka nilikula sana nikiwa primary, waambie wasiwe wanakufungia kwenye magazeti, unakula sumu hapo
Wapendwa mnazingua uzi wa picha huu sio wa kisambaa😁😁
Linaanza kukuja lini eti jamani!!Basi subiria treni lianze safari [emoji23]ndio uondoke
Ni wivu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapendwa mnazingua uzi wa picha huu sio wa kisambaa[emoji16][emoji16]
Na mimi nitaanza kuandika kisomali hapa mtafutane na sisi tunajua vyetu msijidai sana😁😁Ni wivu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Linaanza kukuja lini eti jamani!!
Ni kweli mkuu" ila pia nakula taarifa ya habari kwa magazetiMkuu unavipenda sana hivi vi 8 8, nakumbuka nilikula sana nikiwa primary, waambie wasiwe wanakufungia kwenye magazeti, unakula sumu hapo
Ntumie kapicha kako dear.Chat na picha