Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ Leo umemchamba Cute wife
ajuza yule bora kalala.. asishindane na vigoli kama nyie hapo.. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...
nakuona mlimani wa dar.. siku ingine ukija niambie huwa mie ni chef hapo KFC ujilie bata ka kuku basi pachaa wangu. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
unaonekana umevila hatari๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nilichezea mwaka wa pili hadi nikaona naaga chuoo.. ila mwamba nilipasua mwambaaaa... maana nilikuwa naingia na booklet nzima imejaa majibu, nakaa kama lisaa natupa ya ticha na baki na niliyo ingia nayo, alafu naomba ya nyongezaa... najazaa vizuriiii... kituuuu... usijaribuu.. hii sijashauri wala sio ushauri huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ