Selfika na JF: Snap it. Show it

Wamongolii visigino vimekomaa afu vichafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vidole vimejaa sugu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! ulnashindwa hata kusugua kidigino jamani nantiaje aibu uduguuuu unyayo pembeni una ukoko mweusiiii lol🤠🤠🤠🤠😁😁😁🤣🤣!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! unashindwa hata kusugua kidigino jamani unantia aibu uduguuuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]!!

Kisigino kina ukoko afu kimevimba mihogo ya ikwiriri dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kisigino kina ukoko afu kimevimba mihogo ya ikwiriri dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mihogo ya ikwiririiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! .
Hapo najiona mie ndo mieee mmxxxxxieeewwww😊🤠🤠🤠🤠!!

Sijui ndio kuzeeka kwenyewe uduguuu make mie nae umri umesongaaa ila kamwili tu ndio kamegoma sijui ndio unyafuzi wenyewe mnaita 🤣🤭!!
 
Umri umesonga wapi mtoto wa afu mbili wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uduguu mwenzio nimeanza kulewa sichelewi kuharibu kijiwe

Wewe wa moto udugu unazeeka na hips lako, kazi kwa wamongolii wafupi km vikombe vya kahawa, wamepauka km pazia la leba
 
Trehhtrehhhhhh 🤠🤠😂😂😁Nacheka kama chizii huku ujueee hakii hizo pombe zinakupeleka pabaya uduguuu !

Niache na uzee wangu uduguuu mie mwenzio najiona classic kumbe Nimechunda kama pumbuu za mzeeee🤣🤣🤣🤣🤣!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe kuchunda bado uduguu
Hebu selfika kwanza nione hips nistuke nitafute pesa ya kwenda Uturuki na mimi nikajiongeze [emoji2222][emoji2222][emoji2222] sasa sijui na urefu wanaongeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…