Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Naomba ufanye sasaivmjep akiselfika naacha kabisa kulog in jfπ
atume tena chap afute, uone mwenyeweWewe ndio unataka ugomvi na Mwachiluwi
Sifanyi tena nimesusa
Wanaume hua hawasusi ujueSifanyi tena nimesusa
Mwambie nimepokea kiss yake kwa niaba ya wanaselfika
Aririririririiiiiiπ
Umekata sana
Ahahahha wewe mtubad kabisa sikuamin π€£Mwambie nimepokea kiss yake kwa niaba ya wanaselfika
Huyu ni Ms eyesHuy hapa
Tungojee ya mshambaAririririririiiiiiπ
Hongera aisee unamiliki pisi kali sana
Mimi ndiye ninayeaminika jf nzima sasa πAhahahha wewe mtubad kabisa sikuamin π€£
Ahahaha wanafanan kiasi but mis eyes π alinikataa kweupHuyu ni Ms eyes
Sawa mkuu nani Apinge ukisema weweMimi ndiye ninayeaminika jf nzima sasa π
auntie kama auntie
mshamba_hachekwi em lipiza hapa tuone pisi yakoTungojee ya mshamba
Lenie atapingaSawa mkuu nani Apinge ukisema wewe