MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,745
- 71,583
Father Christmas himself, making dreams of jobless embittered teens come true.Tuselfike wadau
nimeyaona macho gololi😁
selfika mzee, huna kisingizio vocha imeingiaNyingine
Hapo yamefichwa na nywele😂🚮nimeyaona macho gololi😁
Bwahahaha, nacheka kama mazuri vile 🤣 🤣😅😅😅 Dada na dada mwingine.. walishanichomesha samaki samaki... Subiriiii wapiiiii ... Hadi panakucha siona dada wala sister
Humu naonekana wa ajabu kabisaa siaminiki na yoyote humuuu 😅😅😅😅Bwahahaha, nacheka kama mazuri vile 🤣 🤣
Hawa madada uliwakosea nini wewe jamaaaa!
alaa, kumbe badoHapo yamefichwa na nywele😂🚮
Siku ngumu wife kavimba, mchepuko kavimbaaa... utajui hujui 😅😅😅😅alaa, kumbe bado
tuma ambayo hayajafichwa😁
Wewe mtoto sitak mazoeaselfika mzee, huna kisingizio vocha imeingia
Kuna wewe na yule mwamba anajiita Mzee wa kupambania, weka mbali na watoto!Humu naonekana wa ajabu kabisaa siaminiki na yoyote humuuu 😅😅😅😅
Pia natu huma za kutembea na nyama za watu . Mda huo huo natupwa na mda huo huo natuhumiwaa.... Imefikia kipindi sielewi na mie nimewakosea nini
nisamehe kaka🙏🏾Wewe mtoto sitak mazoea
Ukojoe ulale sasanisamehe kaka🙏🏾
alhamisi hii, tuna lay low mkuu😂Siku ngumu wife kavimba, mchepuko kavimbaaa... utajui hujui 😅😅😅😅
😅😅😅 Ila wangejua sie ndio kimbilio na waaminifu sana kuliko wanao waamini humuu...Kuna wewe na yule mwamba anajiita Mzee wa kupambania, weka mbali na watoto!
selfikaUkojoe ulale sasa