Mpe salamu nyingi mwambie tunamsubir arudiNdo hivo.... An hapa nikimpa taarifa hizo nahisi atatamani akuje huku chap ila ndo hivo ni uncertainty... Yaan impossible
πππππ₯³π₯³π₯³ Yaaani ana vibeee ka lote...Haha sawa naona Leo mtaelewana sana π π
Poa poaπππππ₯³π₯³π₯³ Yaaani ana vibeee ka lote...
Sawa sawa na wewe pia...Poa poa
Niwatakie usikumwema jamani nasinzia
Atanipa jibu lako sasa hivi ππππππ₯³Hana adabu mtoto wa mke wangu huyo, nimemsomesha tangu chekechea hadi chuo, alafu leo anakuja kubishana na mimi kisa amepata job...βΉοΈ
Muda huo sisi tutakuwa wapi?π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Si wa hovyo tutatangulia mbinguni ujue.....!π
Nilikuwa naumwa mafua kesho naingia mzigoni
Pole.Nilikuwa naumwa mafua kesho naingia mzigoniView attachment 2692522
kwa wapi, mbona ni swali?Kwenda huko?
Kunyanduana na naniπMnyanduano day
Thanks darlingππΎBeautiful
Kaliiiiii π hayo si ndio mambo sasaKasema kama hii atavaa...π€©View attachment 2692472
Na mtuKunyanduana na naniπ
Ooh Asante ππAaliyyah
""I always look back,
as I walk away,
This memory will last
For eternity.
And all of our tears
Will be lost in the rain
When I've found my way back
To your arms and love again,
But until that day,
You know you are,
The queen of my heart π""
By. Intelligent businessman
ππππ, aseee π