Mukuje wote sawa...
Fanya juu juu ukuje.. an hakuna sababu ya kukosa mybe uwe nje ya dasalamu
Kesho usiweke hii B&W pia mii nilitaka kuona macho tuma kama hii ikiwa na macho tuu 😂😂😂🙏🙏🙏🙏
SitakiNimeweka mali safi ukajifanya sizitaki mbichi hizi, utaniota leo😉
Dadeq MUST watakuwa wanakoma.
Awww nakuona umetoka bling bling😂😂😂
Kuna njia huku ya chanika ipo saafiii... Unaingia chanika, Mvuti, kitonga, mwisho wa rami, Msongola, Kesewe, mbande, bami, then ushafika mikumi hapo.. 1hr ushaingia 😂😂😂😂Anakaa Goba huyo
Kuja mpk Chamanzi ni kama anaenda mkoa safari yake
haya rudisha ile😂Awww nakuona umetoka bling bling😂😂😂
Hiyo mpaka nikija kule mahali, hapa naogopa nitatekwaSitaki
Mm nataka 🫦💋
na mahindi ya kuchoma😂Dadeq MUST watakuwa wanakoma.
Acha tule mihogo bro, wataelewa tu🤣
ah we watu humu hawaonyeshi sura😂Kesho usiweke hii B&W pia mii nilitaka kuona macho tuma kama hii ikiwa na macho tuu 😂😂😂🙏🙏🙏🙏
Io route yote kisa? 😂😂Kuna njia huku ya chanika ipo saafiii... Unaingia chanika, Mvuti, kitonga, mwisho wa rami, Msongola, Kesewe, mbande, bami, then ushafika mikumi hapo.. 1hr ushaingia 😂😂😂😂
Dahan ww na mwenzak hakuna eksquz hapo
Ficha kila kitu nataka nione macho tuuu basiah we watu humu hawaonyeshi sura😂
Hii haijaendaaHiyo mpaka nikija kule mahali, hapa naogopa nitatekwa
Wee kweli unasema hvo...Io route yote kisa? 😂😂
na mahindi ya kuchoma😂
😅😅😅Jamaa bhanaKuna quote yake nyingine anasema
Anamuogopa mwanamke ambaye haombi hela [emoji23]
Hii haijaendaa
sikuoni ila unyama😂View attachment 2670950haya io apo dogo😂
Ulitaka kuona nin kwan😂😂😂😂😂sikuoni ila unyama😂