Selfika na JF: Snap it. Show it

Character mwingine
Paul aisee
Kupitia yeye , Mungu kafanya mambo makubwa sana .

Through Paul , i have learnt that God can use anyone .

Paul hakuwa kabisa muumini wa Yesu kristo ila mpaka alipomtokea na kumwambia

Sauli , why are you persecuting me , suddenly Akabadilika na amefanya makubwa sana katika injili na kueneza ukristo .
 
Reactions: 511
Halafu nyie wa double double ndio hata hamuijui inafananaje

Sasa nichunguze nini bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Niache kuusikilizia ukuni wa baby nimwambie anipee yote, nianze ukaguzi mimi Tbs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona unachunguzwa na mpenzi wako ujue hakuna unachofanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cute Wife πŸ™†. Tinsley
 
Hakika
Nawaza kufungua bakery
Japo bado naona sijaiva sana [emoji23]
Amen to that
Just pray and it will be done .

Watu wanaanza mdogo mdogo and one day perhaps you will own a big bakery kama ile Abundance pale Mwenge .
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…