Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nifungue fekero ili twende sawa na ushubwada wa tweeter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huna fekeroooo unawezajeee??

Mwenzako kila mitandao, nna fekero, kasoro JF na tsup
 
Duh aisee mna shida basi
Si unapumzika baada ya hapo
man anataka sex kila siku
ukiwa na mahusiano ni mwendo wa ratiba
mie siwezi, hata B analijua, ila huku chamani sina ratiba
na kubaka sitaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huna fekeroooo unawezajeee??

Mwenzako kila mitandao, nna fekero, kasoro JF na tsup

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Yaani nimeshindwa kumiliki fekero siwezi kabisa, jf ninazo mbili hii niliifungua kwaajiri ya kucomment pumba, nayo ishanishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hujamtafuta, mbona yupo online siku zote.
Hawezi acha kukujibu maana nyie ni marafiki au labda kuna mnalo nificha.
Trust me nimemtafuta , lakini no response ..
Inaniuma sana 😂😂😂
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…