Ukiangalia kile ulichonacho maishani, utakuwa na zaidi kila wakati. Ukiangalia usichokuwa nacho maishani, hutawahi pata cha kutosha kamwe.
*****
If you look at what you have in life, you'll always have more. If you look at what you don't have in life, you'll never have enough.