Lol kumbe kapelekwa Ilboru uduguu akee Nilitaka kushangaa aseee..afu since primary kasoma kayumbaaaa!!
Huyo ndo alikua marking guide yanguu nilikua hata sijichoshiiiii
!Nikichoka kufundisha ye ndio nampa Kazi ya kuwaelewesha vilazaaa
Mie sijui nilikua na wenge lipi hata nikaona kapelekwa Arusha na hata sikuwaza vya ya kike au kiume
!