Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuja mie uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko wanafunzi wapyaa wa 4m 5 ntawakuta.

Eeeeh udugu, yule mtoto kipanga, aliyepata 1 ya 7.
Kapelekwa wapi, mzumbe, ilboru, au kibaha, au tabora boys??
. Wanakuja July udugu akeee naona hawa wametoka sehemu mbareeembareee walau watakua sio washambaa kama wanaotoka Hukuhuku Nyakiboo tyuu!!

Yule eti wamempeleka Arusha jamanee sie tulijua Ilboru mokoo lol!
 
dear hizo pigo unyamaa mwingiiii, jana nilivaa jezi ya mam city na kinjungaa afu nikawa na nimeongozana na classmate, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uzungu mwingiii mnooo.

Uzungu mwingi sana ngoja tuzidi tafuta hela
 
. Wanakuja July udugu akeee naona hawa wametoka sehemu mbareeembareee walau watakua sio washambaa kama wanaotoka Hukuhuku Nyakiboo tyuu!!

Yule eti wamempeleka Arusha jamanee sie tulijua Ilboru mokoo lol!
Arusha kiajee? Arusha si kuna Girls tupu? Au kapelekwa kisimiri?? Hawa nao yule dogo sio wa kukosa special school. Khaaah
 
Lol kumbe kapelekwa Ilboru uduguu akee Nilitaka kushangaa aseee..afu since primary kasoma kayumbaaaa!!

Huyo ndo alikua marking guide yanguu nilikua hata sijichoshiiiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!Nikichoka kufundisha ye ndio nampa Kazi ya kuwaelewesha vilazaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mie sijui nilikua na wenge lipi hata nikaona kapelekwa Arusha na hata sikuwaza vya ya kike au kiume๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ