Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Tunajua Jack Palladino usijali kabisa[emoji28]
Ninalo, sijajiskia tu kutoka nalo leoSi ununue gari?
Tumeishiwa mastori mapya [emoji1787][emoji1787]
ngoja aje mzee wa mavocal Mwachiluwi ๐Kwa pic hii lazima vijana waanze kusumbua..[emoji28]
But why๐its impossible until its done๐
Kwamba sie ni ndugu zake Mange Kimambi ๐๐Nyie mkose story mpya?haiwezekani[emoji28]
Kuna hiyo mpya๐คฃ๐คฃNyie mkose story mpya?haiwezekani[emoji28]
Jiandae badae
Ase naumwa mafua leo sina neno kabisa ngoja niponengoja aje mzee wa mavocal Mwachiluwi ๐
Nitakupigaaaa nikuzimishe ๐คฃ๐คฃ๐คฃKuna hiyo mpya๐คฃ๐คฃ
Hata haisubiri conference call nitakwambia
Kuna hiyo mpya[emoji1787][emoji1787]
Hata haisubiri conference call nitakwambia
Una mafua ya kuku au ya bata? Niliona umelishwa kapaja kamoja ka kukuAse naumwa mafua leo sina neno kabisa ngoja nipone
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Njoo unipigeNitakupigaaaa nikuzimishe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nitakupigaaaa nikuzimishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lenie Hapo umepiga kelele sio kulia, mwambie @Depa akupe darasa.๐ฅฒ๐ฅด๐๐ฎโ๐จ๐ข๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Haya nipe maana ya jina langu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Njoo unipige
ahahah sio kuku njiwa yule na jioni hii tena nimeenda kusalimia kwingine nikalishwa ugali njiwa mzee nitarudi kibonge ujue kitambi nakiona kileeeUna mafua ya kuku au ya bata? Niliona umelishwa kapaja kamoja ka kuku
๐๐๐ naona unataka tuuliwe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Njoo unipige
ni njiwa yule ๐Una mafua ya kuku au ya bata? Niliona umelishwa kapaja kamoja ka kuku
Anataka kunilaza njaa huyoAnataka kuvunja ushemeji eeh[emoji28]