mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
napenda zile raha sasa 😂Kama ni jobless achana na pisi kali kijana
napenda zile raha sasa 😂Kama ni jobless achana na pisi kali kijana
kwani jumapili haitoshi.... afu mi mluteri mambo ya jumuiya nimejifunza juzi
Akiwa na maitiMkuu upo mochwari?ebu selfika hapo!
Akiwa na maiti
una moyo sana mzee kuna certification zozote za kazi??
sindikiza na picha tuone broKaribu vodka, maombi hayafanyiki baa kuna kelele sana
I can't promise anything😂 leo kwanza nalala saa kumi....hakika mna siku ya maombi kwa juma .
Nikikosaga maombi ya jumuiya huwa sipendi .
📸sindikiza na picha tuone bro
kwamba upo wapi muda huu ??I can't promise anything😂 leo kwanza nalala saa kumi....
A glass of vodka please ???
Yuko mkesha wa maombikwamba upo wapi muda huu ??
sina ajenda za ajabu humu natoa stress 😂Kwa mwendo huu ndio mana unafeli mdogo wangu. Usiku wote huu unapiga story za jumuiya na mrembo huyu daaah [emoji28]
🍷A glass of vodka please ???
sina ajenda za ajabu humu natoa stress [emoji23]
duh isiwe hivyoYuko mkesha wa maombi
nipo geto ila nina mmbo mengi😂 ntatoboa mpaka saa 11 ikiwezekana.....kwamba upo wapi muda huu ??
Mwambie huyu dogo anachezea bahati sanaUnafeli mrembo amekuelewa wewe unaleta story za jumuiya[emoji28]
mbona ghafla sana mzee wangu😂Unafeli mrembo amekuelewa wewe unaleta story za jumuiya[emoji28]
Kataka kuona glass😂Mdogo wangu una screenshot hizi pic acha kabisa[emoji28]