mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
acha wivu niko ngangari wote nitawakabili ipasavyo๐Toka nduki hapo dear, kabla hajakuzeesha huyo
Bora hata angekua na hela ungesema utamchuna ufaidike, sasa apeche alolo si atakupausha mwaya
Unamloga mtu ambaye hana hata mia jamaniNenda upareni ๐คฃ
Au kule Morombo. Palivyo changamka vile huwezi kosa mganga mkweli
NoneVipi tena
Good girl ๐๐ Napokea ushauri wako kwa mikono miwili๐
Naona unatuandalia kitru kimoja matraaatraa sana!!Nipo kitchen napika vitu have this taste๐๐
๐คฃ heri nibaki nyumbani nile ugali mchicha. Sio mnambie twende Morombo kwenye nyama.Morombo ni pachafu kule ๐๐๐
๐๐๐Unamloga mtu ambaye hana hata mia jamani
Hayo ni matumizi mabaya ya ulozi
mimi temdo najua kiwanda๐Hata hupajui
๐ Yaani kona ya mbauda nayo ni ovyo tu jamani, haswa kule sokoni jamani woiii๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐คฃ heri nibaki nyumbani nile ugali mchicha. Sio mnambie twende Morombo kwenye nyama.
Kule enzi za utoto nilikuwa naishia kona ya Mbauda
Palee shisha village ๐๐
Wewe huyo hana mia tu lakini ni wa kishua ๐คฃUnamloga mtu ambaye hana hata mia jamani
Hayo ni matumizi mabaya ya ulozi
najua unanitakaGood girl ๐
Babe, I missed your sweet lips๐๐๐mood swings๐ you need dick
๐๐ unaendaga kufanyaje?๐ Yaani kona ya mbauda nayo ni ovyo tu jamani, haswa kule sokoni jamani woiii๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
๐๐kuna designers makini mlemimi temdo najua kiwanda๐
Shida hizo hela anaishia kununua raba na aifonWewe huyo hana mia tu lakini ni wa kishua ๐คฃ
Pocket money hapo akitoka likizo anakunja Milioni kadhaa
Baba ake ni afsa pale Tanapa
Mama ni meneja NCAA
Dada ake ana miliki Hotel Serengeti
Kaka ake ana cruiser za pori 12
Nilikuwa naendaga sokoni kule kununua ingredients ๐๐๐ unaendaga kufanyaje?
Nasikia kuna mitumba inajitahidi ila sijawahi fika.
Nikifika mwisho kale ka village pale
Hahahaaaaanajua unanitaka
Ukitokea Sakina kwa Wamasai ๐Nilikuwa naendaga sokoni kule kununua ingredients ๐
Sasa mtu anaitwa mshamba unamshangaa tena?Mmh totoo, hii lugha humu sio poa
Hivi ile mitumba ya kwenye mikokoteni bado ipo?๐๐ unaendaga kufanyaje?
Nasikia kuna mitumba inajitahidi ila sijawahi fika.
Nikifika mwisho kale ka village pale