mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
mi naona ukishaziangalia uzifute tu kimyakimya😅 tatizo unataka uonyeshe masela we mwamba😂Kisheria ni kosa kubwa sana. Sijui kesi zao huwa zinaishiaga wapi maana nasikia Mwijaku ndiye aliyevujisha ile ya Menina mpaka leo Mwijaku anadunda tu kitaa
Bora ubongo ndo ukumbuke na sio simu .Nandy alikuwa anajichukua mwenyewe kwenye kile kichupa chake na Nenga
📸📸📸Wa huku hata sex toys hawanunui wao ni chupa halafu haiwalipi wanaishia kuaibika tu wenzao mbele wanaingiza pesa
Hahaa ila teknolojia ni nzuri na mbaya aiseeRafiki anamjua mkeo kila kona kuliko wewe mmiliki😎
Mageto siku hizi yako loaded sana, hotel room inasubiri😂Hotelini huko au lodge
Mpo ghetto wapi na wapi
Mimi naona wameamua kuoana ili kuzima soo. Unajua Nenga analelewa tu na bidadaBora ubongo ndo ukumbuke na sio simu .
Sema hawa wameowana kweli walipendana
wajanja wanaopoa pisi kila kona 😂Mageto siku hizi yako loaded sana, hotel room inasubiri😂
Kaone kwa macho ww dogo. Waomba nudes wote ni timu sheria mkononimi naona ukishaziangalia uzifute tu kimyakimya😅 tatizo unataka uonyeshe masela we mwamba😂
Duh Huyo mafiaMageto siku hizi yako loaded sana, hotel room inasubiri😂
Na hawa wajomba wa xvideos.com wana vichupa vingi vya kibongoSiku hizi kuna secret camera, utaiona ila utajikuta 1 trending on xv🎥
Pisi bila kuiona kwa macho ni matumizi mabaya ya hisia😎wajanja wanaopoa pisi kila kona 😂
Hapa ndo vidume wengi tunapofeli tuna zile za kujimwambafai pale nshamega. Wana wakibisha unawapa na ushahidi wa kichupa au nude pic y mrembomi naona ukishaziangalia uzifute tu kimyakimya😅 tatizo unataka uonyeshe masela we mwamba😂
Yeah ni kweli aiseeMimi naona wameamua kuoana ili kuzima soo. Unajua Nenga analelewa tu na bidada
ni ushamba kabisa 😅Pisi bila kuiona kwa macho ni matumizi mabaya ya hisia😎
kazi kwao vijana wa arusha wenye pesa zao😂
Wanapaswa kujua kuwa nudes ni Kwa macho tu, hifadhi hiyo picha kichwani.Hapa ndo vidume wengi tunapofeli tuna zile za kujimwambafai pale nshamega. Wana wakibisha unataka kuwapa na ushahidi
Acha jinsia KE watuite mbwa wakati mwingine hawakosei
washamba wamejaa mtaani bro....Wanapaswa kujua kuwa nudes ni Kwa macho tu, hifadhi hiyo picha kichani.
Umeharibu kuweka black and white, washa taa iwe coloured 🚀
Timu done haowashamba wamejaa mtaani bro....
Kama ile ya Kim na Ray J inaonekana Kim alitengeneza makusudi af baadae ifanywe kama imevuja ila imemtegenezea pesa sana.Yeah ni kweli aisee
Ujue nyie me sio rahisi kufunga ndoa na mtu . kamheshimisha mdada wa watu .
Wazungu hawana shida na hizi mambo kama Kim na video yake ile . aliitumia awe star .