Selfika na JF: Snap it. Show it

Victims huwa ni ke mostly .. Unajua ukishapenda unafanya vitu bila kufikiri halfu mtu anakubembeleza baby naomba nitumie , unatuma kiulaini .
Na nyie mnapenda sana yaani hilo huwa naliona KE akikolea kwa kidume unakuta manzi hana hata wasiwasi anajiachia anachukuliwa videos na pics 😔
 
Na nyie mnapenda sana yaani hilo huwa naliona KE akikolea kwa kidume unakuta manzi hana hata wasiwasi anajiachia anachukuliwa videos na pics 😔
Wanawaamini haraka wanaume. Hata mfano kwa walio lizwa hawaioni. Labda ndio maana alisema.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…