Selfika na JF: Snap it. Show it

Cheating at the highest level maana baada ya hapo ni game tu . na siku hizi kuna Giphy hzii wanatumiana tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mahusiano yamekuwa pasua kichwa ...
Kuna watu wamejikuta wako kwenye GIFs bila wao kujua kumbe kuna mtu kashafanya yake kumharibia.

"Vitu viwili vya kuogopa ni Mungu na teknolojia":โ€“Ruge Mutahaba
 
Kuna watu wamejikuta wako kwenye GIFs bila wao kujua kumbe kuna mtu kashafanya yake kumharibia.

"Vitu viwili vya kuogopa ni Mungu na teknolojia":โ€“Ruge Mutahaba
Hakuna mwanamke mwenye akili na anajiheshimu anatuma nudes mitandaoni. Ukiona hivyo basi ni jua la Jioni.
 
Kuna watu wamejikuta wako kwenye GIFs bila wao kujua kumbe kuna mtu kashafanya yake kumharibia.

"Vitu viwili vya kuogopa ni Mungu na teknolojia":โ€“Ruge Mutahaba
Duh so sad
Ni kuwa makini sana .
Njoo tuonane yaishe na sio picha picha tafikiri tupo shule ๐Ÿ˜‚.

Au mchat kwa text normal kama mpo mbali
 
Duh so sad
Ni kuwa makini sana .
Njoo tuonane yaishe na sio picha picha tafikiri tupo shule ๐Ÿ˜‚.

Au mchat kwa text normal kama mpo mbali
Hahahaa kama ni picha tutumiane za kawaida tu za utamu BIG NO ila waathirika wakubwa wa hizi mambo ni jinsia KE

Huwa wanajisahau sana hisia za mahaba bila kutumia akili
 
Duh so sad
Ni kuwa makini sana .
Njoo tuonane yaishe na sio picha picha tafikiri tupo shule ๐Ÿ˜‚.

Au mchat kwa text normal kama mpo mbali
Wewe, Endelea kuzitimu tu kwani kitu gani๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ