Selfika na JF: Snap it. Show it

Watoto wazuri wanataka wanataka maneno kidogo na pesa mingi mkuu
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Au sio sema jamaa kawala sana humu, nachekaje hapa kama fala vile

bado yule mwenye uzi wake wa nanilii, ambae nanilli anapenda kukaa huko na naniliiu, sema mambo yao sikuizi wameona acha yaishie pm tu,

Sema huko pm nami ntawadukua tu nipe muda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, daaah jf ni tamu sana walaiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…