Amesema hataki kuitwa mpenzi
Hajui mimi natamani kuitwa mpenzi shauri yake yeye akatae sisi twala😁😁😁
Amesema hataki kuitwa mpenzi
Twende Blue stone 😩Unatakaje mdogo wangu??
Uko poa PeterrabbitMorning Tayukwa
Nimepita naked kabisaUnapita mapema
Hii sio taarifa jamani hebu tu deal na mambo ya maana kwanza mpira wenyewe haram😏😏😏
Labda ndotoniNimepita naked kabisa
@MjepTwende Blue stone [emoji30]
Nikunywe mtori huku ndio unasema hiyo pole.
Mi napanda ngaziUsiondoke mpaka wazindue hili jengo na twendepo kupanda lift tu 😂😂😂 Waseme View attachment 2623543
Alaf we dogo unaingia mjini kimya kimya bichwa lako@Mjep
Wapi huko kasema??Amesema hataki kuitwa mpenzi
Hajui mimi natamani kuitwa mpenzi shauri yake yeye akatae sisi twala[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado bado ground hawajamaliza kutoa hayo mabatiMi napanda ngazi
najali afya😀
Wanazindua lini kwani??
Tulia mama mia 🤣🤣
Basi utaniambia nikujeBado bado ground hawajamaliza kutoa hayo mabati
Nipooooo
Karibu babe Tee 😍Tunda langu pendwa
Umenitamanisha!
😘
SanaaaaKaribu babe Tee 😍
Water melon ni tunda poa sana.
Umechelewa imepandishwa hapa bonge ya selfie matata sanaNipooooo