Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumefuliaaaa hatuna jipyaa mzeiya wa mizagamuo!!
Mbantu keshatupiaa hapooo πŸ‘†πŸ‘† wahii fastaa ukaoshe macho kabla hajaifutaaa!!
Hahaa nimeona chombo bantu πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹ mwanawane. Warembo kama nyie mnaanzaje kufulia hebu tubulesi na wewe basi uubariki usiku wetu
 
Sipati picha huo mvulugani hapo ndaniπŸ˜…
Hongera sana, Chukua kabisa maua yakoπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
Sio sana , nimekakuta kamejificha kwa ndoo .

Kichwa kinauma halafu yeye ananisumbua πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…