Ila wakati unaanza (iwe kazi kabisa au internship) jiandae kwenda ofisini maana hapa kwetu tunaamini sana katika kwenda ofisini, hata pale ambapo sio lazima. Yani boss asipokuona basi ni kama vile hufanyi kazi hata kama una-deliver. Nilishawahi kuacha kazi inipite kwa kigezo cha kutakiwa ofisini Monday - Saturday bila exception wakati kazi yenyewe ningefanya vizuri tu bila kwenda ofisini kila siku.
Anyway, baadae ukishaji-establish na kutengeneza CV ndio unaweza kutia mbwembwe kwakuwaambia waajiri kwamba one of your requirements ni kufanya kazi remotely.
Igweeeeeeeehhh๐๐๐! Mambo si ndio haya sis akee wabheja sana!!!
Mtrotro potrabooi mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!;๐๐๐๐๐คฉ!
Wapi Mjedaaa e njoo ona vitruuu vikareee ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ!
Hakika usiku Wangu unaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Igweeeeeeeehhh๐๐๐! Mambo si ndio haya sis akee wabheja sana!!!
Mtrotro potrabooi mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!;๐๐๐๐๐คฉ!
Wapi Mjedaaa e njoo ona vitruuu vikareee ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ!