Chakula pendwa kwangu RabbitUnapenda karoti eeh sio
Aache aite
Nishapata jimbo lingine mkuuu asante
Niko Poa sana, Karibu maji ya baraka hapaAache aite
Za usiku Bro
Hutaki preacher, hutaki kwenda heaven wewe๐Nishapata jimbo lingine mkuuu asante
Yes Bro nambie
Woooihh ntajifunzia huku kwingine tu, mkuuHutaki preacher, hutaki kwenda heaven wewe๐
Miss u sana๐๐Yes Bro nambie
Au sister kazingua?? Niliwaacha mnacheka, nimerudi mmenuna๐คทWoooihh ntajifunzia huku kwingine tu, mkuu
Hamna kawa muwazi tu, kila mtu ana uhuru wake mkuuAu sister kazingua?? Niliwaacha mnacheka, nimerudi mmenuna๐คท
Asante sana , karibu chai piaNiko Poa sana, Karibu maji ya baraka hapa
Missed you tooMiss u sana๐๐
Chai na hii kitu๐๐Asante sana , karibu chai pia
Ni pombe hiyo ??Chai na hii kitu๐๐View attachment 2622133
Hapana ๐ ๐ juice ya muwaNi pombe hiyo ??
Fika hospital ya meno.Meno ya chini yote yanauma ase msaada nitumi dawa gani
Usiku macho Yangu yanakuwa mazito .Hapana ๐ ๐ juice ya muwa
Leo ulikuwa wapi, sijakuona homeUsiku macho Yangu yanakuwa mazito .