Wanapenda sehemu zenye giza, hasa konaNdani eeeh ananikera duh
Hapana sio mimini wewe huyu??
hii ndo njia sahihi ya kupima wanawake....Kuna bro mmoja alikua ni Engineer pale ewura, akampenda mdada. Ikabidi akodi chumba na kununua robota la mitumba ili ajifanye ni muuza mitumba. Dada akaona hapa njaa kali kumbe jamaa anampima tu.
Hicho kidole cha Pili toka gumba, sijui nisema π€
nashindwa kuelewa hapa unaninafkia, au unasema ukweli ππHapana sio mimi
Umeniuliza swali la ajabu mno ulitaka nijibu vipi πππnashindwa kuelewa hapa unaninafkia, au unasema ukweli ππ
hiyo picha ni nzuri sanaπ kama ni wewe kweli basi uko vizuri....Umeniuliza swali la ajabu mno ulitaka nijibu vipi πππ
Hehheee wanapatikana wapi ππunaeza ukaja kupata wale majamaa unakuta ni tajiri ila anajifanya maskini kwa muda mfupi akitafuta mwanamke ambae haombi hela, kama kwenye nigerian moviesπ utakua umeulambaπ
Nakipataje halafu ukisogea tu kinaacha kuimbaWanapenda sehemu zenye giza, hasa kona
tena ukimshushia hili verse ndo anadata kabisa πHere's my favourite verse from the book of Philippians 4:11-12
I have learned to be content whatever the circumstances
I know what is to be in need , and I know what it is to have plenty . I have learned the secret of being content in every situation whether fed or hungry , whether living in plenty or in want .
Hehehe wengind hatuna nyota ya mapenzitena ukimshushia hili verse ndo anadata kabisa π
Huyo ni wa kuotea tu maana wajanja sana. Kama kuna giza tafuta tochi, akili tu unafata mlio ulikotoka.Nakipataje halafu ukisogea tu kinaacha kuimba
Tayariπ₯±π₯±π₯ΊπππTupia nikuone
Hiyo mikono natamani niishike aseeee
Hakuna mtu hana nyota ya mapenzi, hujapata anaekufaa, ukimpata hutasema hiviHehehe wengind hatuna nyota ya mapenzi
πππ
Unayempenda naye anampenda mwingine π
Aiseee ππHiyo mikono natamani niishike aseeee
Na imagine ukininaliii kinaniliii changu π ππππππππππ
Wanaitwa cicadaHuyo ni wa kuotea tu maana wajanja sana. Kama kuna giza tafuta tochi, akili tu unafata mlio ulikotoka.
Acha umbeaππHicho kidole cha Pili toka gumba, sijui nisema π€
Shukrani , natulia kwanzaHakuna mtu hana nyota ya mapenzi, hujapata anaekufaa, ukimpata hutasema hivi
Sio mimi nime Google πhiyo picha ni nzuri sanaπ kama ni wewe kweli basi uko vizuri....