Kama ni pesa unaogopa kuomba basi ni sawa tu....
Lakini kama ni hadi kuomba msaada kwenye vitu vingine labda kuna kitu hujui, au hujui kufanya, basi hapo kuna tatizo. Binafsi nina hii shida.... nakazana na kitu ambacho sina uelewa nacho, siombi msaada, afu ninashindwa....
Watu wengi wameniambia ninajikuta sana, na ndo kama hivo.... 'pride'