Ndugu yangu umefanya mambo gani tena ? Yaani akati nimegeuka pembeni kusema hawa ndo wanyakyusa nnaowafahamu kurudi naona picha zimeshayeyuka.
Pole mkuu...
Nikupiemu picha zake? [emoji23]
Huo mwandiko sio wangu jamaani...Hiyo screenshot hapo..
Ukibisha naweka na Voice Note kabisa..
Saa 9 mchana hiyo..[emoji41]View attachment 1271333
Tumaaaa kabisaaa jamanii!!Nasema nitume na Voice Note?
Cc @Shunie
Fanya hivyo aisee. Zile picha zinapaswa zikae maktaba.
Mbona sijaona jamani[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]uwiii umezisave??
Mbona sijaona jamani
Nilikuwa naongea na simuu jamani[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]ulienda wapi eti dada??
Wewe endelea kuruka ruka ila the kile kitabu kisichobadilika ndio kinasema hivi...Mmmmhhh
Hallelujah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maswali wapi. Mara nimefungwa macho, eti 'eat and relax'. Mara play checkers, mara pick any food. Yaani fujo tu.
Mkwe kweli nimepata.Mwache aruke ruke na kina Dulla wa jf kwanza atarudi tuu..[emoji23][emoji23].
Huo mwandiko sio wangu jamaani...
Kama uko na mchuchu anaandika anaruka herufi namna hiyo poleeee
Nilikuwa naongea na simuu jamani
Haya rudisha hiyo picha?[emoji1787][emoji1787]anasokotaje kwani??
Mkwe kweli nimepata.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...
Siku ukimkita MMU analia ujue kina dulla wamefanya yao..
@Roger Sterling mambo yako haya