mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
kiwanja fulani hivi jijini mbeya πMzee baba toa code someka wapi hapo kinahappen π
Thina hela hujathikiab@Depal na Lenie wananichambaNenda gym π€£
vinywaji ni vyetu sote, hapo unajipigia tu kulingana na stress zakoπHii meza hatari kabisa!..kinywaji chako kikowapi?
Meza ikichangamka kama hivi mnajikuta tu mshatoboa majogooHii meza hatari kabisa!..kinywaji chako kikowapi?
Kiwanja gani?vinywaji ni vyetu sote, hapo unajipigia tu kulingana na stress zakoπ
KabisaaaMeza ikichangamka kama hivi mnajikuta tu mshatoboa majogoo
Tafuta hela mzee la sivyo utaishia kuwa mpenzi mtazamaji πThina hela hujathikiab@Depal na Lenie wananichamba
HapanaNa hongera kwa ushindi
Endelea kumuombea jirani yako mabaya ili utinge top 4
mbeya pazuri....Kiwanja gani?
Nipe demu wako yule w dodomaTafuta hela mzee la sivyo utaishia kuwa mpenzi mtazamaji π
Safi sana, hiyo meza ina warembo?mbeya pazuri....
mi mwenyewe nakaa njiroo.... njiro sehemu gani...
Tutaenda wote usijaliBadi Depal tumsubirie boss twende nae nikafanye mazoezi yaku-gamble π° baada ya kuchezea π
aisee, mi nakaa tanesco hapo π neighbor....
mi nataka kutoa stress warembo wa nini mzeeπSafi sana, hiyo meza ina warembo?
Utaweza kumgharamia? π€Nipe demu wako yule w dodoma
ππ hata sielewiMpaka ghorofa ya ngapi? πππ
Hao ndio watoe stress wenyewe mkuumi nataka kutoa stress warembo wa nini mzeeπ