Kuna vitu vikali saaana hapa.Mtoto mkali Sana mkuu!!
Uzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!π
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]I'm just playin bana! [emoji851]
Ila siku nikianza utapeli humu unifumbie macho.[emoji16]
Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae ππππππππMtoto mkali Sana mkuu!!
Nyie ndiyo nimewahama kabisa, hata mtaa niliohamia siwaambii, lindo lilivamiwa nikaanza sakamwa sitaki tena πππππNaomba leo uwepo kwenye lindo
Endelea kutupia waroho mpaka tuvimbiwe πEti mmenienjoy ππ
Umeniacha yatima mimi kule nichukue basiNyie ndiyo nimewahama kabisa, hata mtaa niliohamia siwaambii, lindo lilivamiwa nikaanza sakamwa siraki tena πππππ
Silalo nangojea uselfike hapaUzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!π
Madame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogo [emoji16][emoji16]Nawiba wakaka wazuri hawa, naondoka nao wote. Miye Mkurya kuwa nao wawili haina shida. Msipowaona mje mtaa wa 3, mtanikuta nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The challenge is not to look like a hustler, so.... I'm halfway through the con. π[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
I know right
Wala hufananii Na utapeli [emoji4][emoji4]
Huu ushindi WA tigopesa.?? SawaMadame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogo [emoji16][emoji16]
Ulipitwa na baby face ya Dr eh?Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae ππππππππ
ila tu sura ndo sikuona eti Dr Lizzy tubless sura basi πππππππ kidogo tu then ufute chap
Ukionyesha mfano itapendeza!Daaah aseee imebidi nibadilishe mawazo yangu kuhusu hawa vimbaumbau kumbe kuna wengine wapogo sweet asee ni kwamba tu ni mkubwa kwangu angekuwa yankie ningeruka nae ππππππππ
ila tu sura ndo sikuona eti Dr Lizzy tubless sura basi πππππππ kidogo tu then ufute chap
Daaah....hizi mambo inabidi nirudi nyuma tena.Ulipitwa na baby face ya Dr eh?
Ako na lips nzuri Sana aiseee.
Leo nimetumia mda mwingi Sana kumzoom Dr.
She is cute aise
Ulikuwa kichwani mwangu. Naomba leo wewe Jadda uselfike ili furaha yangu ikamilike. Please, leo zamu yako mamiiMadame kwani kwa huu ushindi wa leo hujawiwa tena kuselfika japo kidogo [emoji16][emoji16]
Huyo dogo Johnnie Walker aache kusumbua wakubwaπUzuri tupo wote hapa..tutaselfika soon!π