Mhhh, Hata nimeweka Herufi kubwa Bado tu, naibadilisha rangi, Hata hivyo Bado sijajua linatatiza wapi
, Naweza kukutafutia mkali wa Haya mambo chini
atakuondolea utata.
Mi daftari langu la Mwandiko sijui niliwahi liacha wapi hata sikumbuki kama nilikua nalo
View attachment 1269618